tag:blogger.com,1999:blog-2913057636100978584.post6662894921325301176..comments2023-03-29T19:37:18.905+03:00Comments on keronyingi: Kwa nini kampuni za kutengeza pombe haziruhusiwi kudhamini matamasha zanzibar?Mkala26http://www.blogger.com/profile/16435476975143716399noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-2913057636100978584.post-33738972876439493022011-12-21T23:01:39.724+03:002011-12-21T23:01:39.724+03:00Mkala siku nyingi sijaingia ktk Blog yako nauhakik...Mkala siku nyingi sijaingia ktk Blog yako nauhakika unaendelea vizuri kimaisha.Ama ktk hili suala Mkala itabidi nikupinge sana na sio kidogo.Kama alivosema mdau alie tangulia ni kweli hapa kwetu Bongo sisi tunaangalia suala la pesa tu lakini hatupendi kuangalia pesa yetu inaingia kupitia wapi.<br /><br />Tusiwalazimishe Zanzibar kukubali kudhaminiwa na kampuni za pombe.Pombe kama tunavojuwa ni haramu kwa waisilamu na unafahamu fika kama Zanzibar ni nchi tulioungana nao na idadi ya waisilamu ni 99%.Sijawahi kumuona mzanzibari hata mmoja anaeshabikia pombe ktk nchi yao isipokuwa wageni ndio waliosababisha kuuzwa kwa pombe kwa wingi hivi sasa.Haimaanishi kwamba mnywaji pombe akubali kuuza au kuitangazia.Pombe inamadhara makubwa kuliko faida.Kwanini usizungumzie kampuni nyingine kuliko pombe.Nadhani nyinyi watu wa Blog ni muhimu kutoa masomo muhimu ya kiafya na maisha bora kuliko kupigia debe mambo yenye kusababisha "crimes,violence,rape,maambukizi ya maradhi ya ngono,umasikini na mengi tu maana hatuwezi kuyamaliza.Haiwi hata ulaya wenye kutengeneza kwa wingi na wanywaji wengi hupiga kelele ya kutotangaza ktk TV kwasababu wananchi wao wengi wanapoteza maisha kwa kutumia pombe kupiliza kiasi.Wanazo mpaka program za kuwaonyesha wananchi kuhusu madhara ya pombe kiafya.Angalia dada zetu na kaka zetu leo hii wanavobugia pombe mpaka wanafanya maajabu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2913057636100978584.post-87933114500650462202011-12-09T00:45:04.482+03:002011-12-09T00:45:04.482+03:00WAO KAMA WAMEAMUA HIVYO NI SAWA,KAMA SUALA LA KUPA...WAO KAMA WAMEAMUA HIVYO NI SAWA,KAMA SUALA LA KUPATA PESA KUNA MAMBO MENGI YANAWEZA KUFANYWA NA MAPENE YAKAPATIKA,,, NI SUPPORT WASIRUHUSU KWASABABU HAYO MAPOMBE YANAHARIBU MAISHA YA WATU WENGI ILA SISI( KWA MAONI YANGU) TUMEKUWA HATUANGALII MADHARA YAKE TUNACHOANGALIA MAPESA TUU,,FANYA UTAFITI ANGALIA KWENYE MEDICAL JOURNALS UTAONA POMBE INA NINI.. AFTRE ALL NI MAAMUZI TU YA JAMII KAMA VILE WATZ HATUTAKI USHOGA UHALALISHWE BASI JAMAA WANATUSHANGAA KWELI,,,,KAMA HAWATAKI BASIAnonymousnoreply@blogger.com