tag:blogger.com,1999:blog-2913057636100978584.post8478161116165222439..comments2023-03-29T19:37:18.905+03:00Comments on keronyingi: Yanga inapogoma kuvaa jezi zenye alama mpya ya Mdhamini wa ligi yaTanzania!Mkala26http://www.blogger.com/profile/16435476975143716399noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-2913057636100978584.post-69851878062194767262011-09-03T11:38:28.505+03:002011-09-03T11:38:28.505+03:00Ni kweli kuwa nilisema tuache uyanga simba ili sok...Ni kweli kuwa nilisema tuache uyanga simba ili soka letu lipige hatua. Na ukweli ni kuwa timu za England zinavaa nembo ya mdhamini wa English Premier ambao ni Barclays na nembo hiyo hukaa begani. Kwa hiyo Yanga wanakosea kuikataa nembo hiyo ya Vodacom.Mkala26https://www.blogger.com/profile/16435476975143716399noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2913057636100978584.post-53694787754912456992011-09-01T06:27:52.174+03:002011-09-01T06:27:52.174+03:00Brother wewe mwenyewe unasema tuache Usimba na Uya...Brother wewe mwenyewe unasema tuache Usimba na Uyanga na wewe mwenyewe bado umebaki huko huko. Argument uliyoandika yaani ni weak kabisa. Yanga wana Kosa gani? Mkataba wa Vodacom si wa vilabu bali TFF na Vodacm. <br /><br />Ligi kuu ya Uingereza inadhaminiwa na Barclays, Je timu za Uingereza zinavaa jezi zenye nembo ya barclays?<br /><br />Mimi naona Yanga wapo sahihi, wanatakiwa kuwa na wadhamini wengine, udhamini wa vodacom ni kati yao na TFF.Anonymousnoreply@blogger.com