News
Loading...

BREAKING NEWS! Milipiuko yaitikisa Dar es Salaam!


 BREAKING NEWS!
Kuanzia  saa 3 kamili za usiku pamekuwa pakisikika milipuko ambayo dhahiri ni ya mabomu makubwa katika jiji la Dar, na tayari uvumi umezagaa kuwa ni kambi ya jeshi ya iliyopo Ukonga na wengine wakisema Gongo la Mboto alimradi kila mtu anasema yake. Hii itakuwa ni mara ya pili kutokea Ghala la mabomu kulipuka katika kipindi kisichozidi miaka mitatu hivi ambapo ghala la mbomu katika kambi ya jeshi ya Mbagala ililipuka na kusababisha maafa makubwa kwa wakazi wa maeneo hayo kupteza maisha, makazi na mali zao. Kwa sasa sifahamu mengi lakini nitaendelea kuwa letea kadri nitakavyopata habari mpya. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Dar es Salaam na watu wake!

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala26

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :