News
Loading...

Its time to go guys!


Waziri wa ulinzi Mh Hussein Mwinyi na mkuu wa Majeshi







Mpendwa mdau huhitaji kuwa mwanasayansi wa nyuklia kujua kuwa hawa mabwana wawili wanazuga tu lakini wanajua wanapaswa kujiuzulu nyadhifa zao mara moja. Mmoja ni waziri wa ulinzi na mwingine ni Mkuu wa majeshi ya ulinzi Tanzania. Sehemu yao ya kazi imefeli vibaya, na kupelekea maafa na aibu kwa Taifa la Wa Tanzania pamoja na serikali ya Mh Rais Jakaya Mrisho Kikwete hasa baada ya milipuko ya mabomu iliyotokea katika kambi ya JWTZ Mbagala mwaka 2009. Kwa kuwa onyo walishalipata, lakini waksubiri maafa yatokee tena.Tena basi Dk Hussein Mwinyi hatokuwa na shida ya jinsi ya kuandika barua ya kujiuzulu amuombe baba yake Mh Rais Mstaafu Alhaji Ally Hassan Mwinyi nakala ya barua yake alipojiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani wakati wa Mwalimu ilipotokea scandal kule Shinyanga ambayo ilipelekea pia Mh Augustine Mrema ajuzulu wadhifa wake wakati huo ambapo alikuwa afisa usalama wa mkoa huo wa Shinyanga.
Moja ya mabomu yaliyolipuka jana na kuangukia uraiani.



FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala26

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :