News
Loading...

King Kong naye alikuwepo.Mako Chali akiwakilisha.
 Hivi ni baadhi tu ya vivuli ambavyo nilivichukua siku ya uzinduzi wa Kilimanjaro Music Awards katika bustani adhwimu za Double Tree Hilton jijini Dar es Salaam siku ya jumatano iliyopita ambapo tafrija hiyo fupi ilikuwa ni pamja na kuizndua nembo ya tuzo za mwaka huu wa 2011.
Mimi na King Kong.


Bonny Love na mimi.


Nash D, Linah na Ditto walihakikisha THT
inawakilishwa vema usiku huo.

  


 
Mtangazaji wa Bongo Beat katika
 ting'a la Star Miss Sauda Mwilima.
 Hwa ni wadau wa muziki ambao majina yao
hayakupweza kupatikana mara moja.

Amin, Mike T na Mwana FA.


FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :