News
Loading...

Dampo kati kati ya makazi


Ndugu mdau tazama eneo hili la Kinondoni Msufini ,pameanzishwa dampo kiholela, si dampo hasa ila wakusanya taka hawajatokea kuziondoa kwa wakati mwafaka na pia hakuna kizimba cha kutupia taka pahala hapo.
Hali hii ni hatari sana hasa kwa watoto ambao hupendelea kucheza katika
eneo hili. Napenda kuwakumbusha Halmashauri ya wilaya Kinondoni kuwa watimize majukumu yao kabla hapajatokea magonjwa ya milipuko hasa kipindupindu.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala26

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments :

Anonymous said...

Hali kama yaweza badilishwa kwa wana jamii wa eneo hilo kukaa pamoja chini ya mjumbe/mwenyekiti wa mtaa na kukubali waishi kwenye uchafu au usafi ? na kutafuta njia nzuri na yenye maridhiano ya kukusanya taka.Eneo hili ni open space nzuri na kama sikosei ni Msufini ! paweza pandwa miti yenye kuvumilia ukame kama Miarubaini na pakawa pana kivuli chenye kufaa kwa shuguli mbalimbali za kijamii.Wanajamii wa hapo wamue tu angalau ni ngumu kwa kuanza lkn ndio hivyo hata Rome haikujengwa kwa siku moja.
Kassembo