News
Loading...

Mtandao wa AFK Insider wazitaja nchi 10 za Afrika zenye nguvu zaidi kijeshi!


Mtandao wa habari wa AFK Insider umezitaja nchi za Libya, Algeria, Ethiopia, Nigeria, Egypt, Ethiopia, Kenya na South Africa kuwa ni nchi zenye vifaa vingi na vya kisasa lakini kilichonishangaza zaidi ni kuieleza Kenya kama nchi iliyo mstari wa mbele kuliko zote kupeleka majeshi yake katika nchi zenye machafuko. Katika hili sielewi ni vipi jina Tanzania linakosekana hapo, ilihali sote tunafahamu majeshi yetu si mara moja wala mbili yamekwenda kila palipochafuka na kuweka hali sawa. Karibuni tu tulikuwa mashariki mwa Congo DRC ambako tuliwavunja vunja na kuwafurusha waasi wa M23 mpaka nje ya nchi hiyo mpaka Rais wa nchi fulani ya jirani akakasirika na kuanza kumkashifu Rais wetu Mh Jakaya Kikwete. Hivyo basi wa Tanzania wenzangu tuwe makini na mitandao yenye kupotosha ukweli.

Chini ni  baadhi ya vifaa vichache vya kivita vya JWTZ vilivyooneshwa katika maadhimisho ya miaka hamsini ya muungano 2014
FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :