Hivi kuna sheria inayombana mtu kurudi katika chama cha siasa anachokipenda toka moyoni, hata kama kama alikihama miaka ya nyuma? Na hata kama aliwahi kuwa waziri wa mambo ya ndani na naibu waziri mkuu hata kama hicho cheo hakikuwepo kisheria hata katika katiba ya chama kimoja tunayotumia mpaka leo hii. Naomba jibu wadau kuna mtu ananichanganya kweli mimi simuelewi hata kidogo lakini wote tunafahamu huwezi kuvaa jezi nyekundu kisha uchezee ile ya Jangwani. Kamwe!!
Usivae Kijani utake kuchezea Nyekundu, vp wewe?
Hivi kuna sheria inayombana mtu kurudi katika chama cha siasa anachokipenda toka moyoni, hata kama kama alikihama miaka ya nyuma? Na hata kama aliwahi kuwa waziri wa mambo ya ndani na naibu waziri mkuu hata kama hicho cheo hakikuwepo kisheria hata katika katiba ya chama kimoja tunayotumia mpaka leo hii. Naomba jibu wadau kuna mtu ananichanganya kweli mimi simuelewi hata kidogo lakini wote tunafahamu huwezi kuvaa jezi nyekundu kisha uchezee ile ya Jangwani. Kamwe!!
0 comments :
Post a Comment