News
Loading...

Alama za No parking zinavyofanya kazi!


No parking lakini gari limepaki 
Ukitazama kwa makini mbele kuna no parking sign
Hii pia.
Hii pia, yaani zipo nyingi tu.
Hapa je? No parking lakini toroli limepaki hapo.
Sasa hapa tena useme nini? Ukisema ooh flani ana mdomo sana! Hebu tumtafutie kesi akapumzike Segerea kama mwenzie aliyejifanya kuwaumbua askari wa usalama barabarani ana kesi mahakamani na kazi kasimamishwa mpaka leo, anaitwa nani vile? Berry Mlo?

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala26

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :