News
Loading...

Ukweli huuma, lakini ni vema niseme!


Mimi na binti yangu Sizya
Wapendwa wadau napenda niwashukuru sana kwa maoni yenu mazuri ambayo yamekuwa yakinipa nguvu ya kuendelea kufanya vema zaidi na zaidi. Kutokana na asili ya blog hii nimekuwa naikosoa sana sana Serikali si kwa kuichukia bali kuipa changamoto isisahau majukumu yake au kuikumbusha majukumu yake, baadhi ya wadau wamekuwa wakinionya juu ya ya baadhi ya  makala ninazoandika dhidi ya serikali, lakini ukweli unabaki pale pale kuwa nilianzisha blog hii kwa ajili ya kupata pa kusemea kwa yale nisiyoyapenda kuhusu Serikali na watendaji wake ninapoombwa kuchunga vidole vyangu ni sawa na kumwambia Roy Keane wakati akicheza mpira awe mpole uwanjani, haiwezekani ingekuwa bora aache kucheza mpira. Kwangu mimi itabidi niifunge blog hii kama nitalazimika kuandika habari za wasanii wa filam na wale wa Bongo Flava, pamoja na kuwa mimi ni mdau wa tasnia hizo. Nahitaji support yenu wadau ninachofanya ni kwa ajili ya watoto wetu, labda watakapokua mambo yatabadilika! Lets fight on!

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala26

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

4 comments :

Anonymous said...

Mtoto ana macho mazuri kama ya baba yake, yametulia sanaaaaaaaaa. Damu kali.

Anonymous said...

Ha, ha, ha! ebu tunza mtoto na mama yake. Lakini bado mmependeza sana. God bless.

Anonymous said...

Ha hahah..changamoto yako kwa serikali ni mhim hao waimba taarabu,na bongo flava wachie wenye fani zao...hali ya maisha halisi ndio inatusaidia kuzidisha gurudum la maisha tulipo ugaibuni,ni chalange kubwa tunaipata kimaisha kwa blog yako MKALA FUN...
Mdau BELFAST

Mzee wa Changamoto said...

Keep on moving.
You're not alone kaka. Tukingali PamoJAH
Nimepita hapa kupitia kwa Da Subi wa www.wavuti.com
Tupe tupe mwana. Blessings