News
Loading...

Makazi ya waganga Tabora.


Hili ni jengo la makazi ya madaktari wa serikali
Juu pichani ni jengo litakalokuwa nyumba za madaktari wa serikali mkoani Tabora, jengo hilo linalotarajiwa kukamilika karibuni litaweza kuchukua familia za madakatari 12 lipo katika eneo nadhifu la Cheyo ambako ndipo yalipo makazi ya mkuu wa mkoa na viongozi wengine wa mkoa huo.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments :

Anonymous said...

Kikombe V/s kanisani
(jumapili)

ushuhuda ulitawala ndani ya kanisa lenye umaarufu mkubwa lililopo kando kando mwa barabara ya Bagamoyo , wakati maombi yakiendelea huku badhi ya waumini wakianza kupiga makele na kujisalimisha kwa muendesha misa na huku wakisema sisi tumetumwa na Mzee wa kikombe tuje tukuue kwa kuwa wewe unakiponda kikombe unasabisha waumi wa kikombe kupungua idadi, sipo peke yangu nipo na wenzangu na tumeshukia makaburi ya Bagamoyo tangu ijumaa na sisi ndiyo tunaotafuta maiti usiku kwa usiku tu tanzania nzima na kuzifikisha kwa mzee kisha tunazisaga na kuzichanga na miti shamba asubuh wagonjwa wananyweshwa wanapona alisika
mdada 1 ambaye alilelewa kwa mzee wa kikombe tangu akiwa na miye y