News
Loading...

Enzi za mwalimu!


Arobaini na sabaaaaa!
Hapa ni mimi na Bonventure Kilosa almaarufu Bonny Love na huu ni usku ilipozinduliwa Kilimanjaro Music Awards za mwaka wa 2011. Kwa kuwa mimi na Bonny tunafahamiana kwa muda mrefu nikamuomba tupige picha kama zile tulizokuwa tukipiga utotoni ambapo unashika ua au mti wowote uliopo karibu. Nafikiri hata wewe mdau ulipitia mambo haya hasa ninyi dada zetu.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :