Baada ya mvua kubwa kunyesha jana usiku mpaka alfajiri ya leo mjini Tabora, imesababisha watu wanaokwenda kufuata kikombe cha dawa kwa dada Mage wapange foleni katika madimbwi ya maji, lakini madimbwi hayo si kikwazo kama ambavyo ungefikiri, watu wapo comfortable kusimama humo mpaka foleni itakaposogea. Leo nimefika mpaka langoni mwa kuingilia kwa dada kumekuwa na purukushani za mara kwa mara nazo zinasababishwa na baadhi ya watu kujipenyeza katika foleni hiyo ambayo kwa leo ina watu wapatao 3500 mpaka 400 hivi.
Hebu niangalizie usafiri wangu nikapate kikombe!
Huu ndiomwendo! Unataka kikombe panga foleni kwenye dimbwi.
Mkala jana nimemwonda swahiba wangu mgalula nikakumbukia mbali kweli zama hizo a town. nakumbuka alikata mawingu kuelekea state kama walivyokiita zamani sasa je amerudi kuwekeza nyumbani taabora?
5 comments :
Mkala jana nimemwonda swahiba wangu mgalula nikakumbukia mbali kweli zama hizo a town. nakumbuka alikata mawingu kuelekea state kama walivyokiita zamani sasa je amerudi kuwekeza nyumbani taabora?
Yeah jamaa ana club huku, so ndio hivyo tena. 10 years ago usingefikiri Gaby angeweza kukaa Tabora na kuwekeza!
good work kaka, mi nipo hapahapa tabora ,nafurahia kazi yako bro
good work kaka,mi nipo hapahapa tbr nafurahia kazi yako
Thanks bro!
Post a Comment