News
Loading...

Foleni yazidi kwa dada leo hii!


Leo ikiwa ni takriban siku kumi tangu Dada Mage aaanze kutibu wagonjwa kwa tiba anayodai kuwa kapewa na uwezo huo na Mwenyezi Mungu, Mtaa huo wa Urban Quarter umeanza kuwa maarufu hasa baada ya wachuuzi wa vyakula vya kila aina kuanza kutoa huduma hapo. Kama uonavyo leo pana takriban watu 2000 hivi ukifananisha na jana ambapo palikuwa 500 hivi.
Huu ndio msururu uliopo leo huko huko Urban Quater.

Leo pana uzio wa polisi kabla hujaingia kupata kikombe cha dada
Dada kapandisha mzuka, kabla ya kikombe!
 AMETULIA: Hapa anapewa kikombe baada ya kuombewa sana na Dada Mtabibu.
 

Ndani ya uzio panaruhusiwa watu 10 kwa mara moja.


Biashara zinashamiri maeneo ya karibu na kwa Dada.

Baadhi ya wahitaji wa kikombe cha dawa wakiwa wanasubiri katika foleni


Duu cheki foleni, tutagonga kikombe leo?


FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :