News
Loading...

Siku kuu zina mambo jamani!


Mahala hapo hutumika kuchukulia picha

Mambo ya sikukuu ya eid el fitr, baadhi ya washeherekeaji wa siku kuu ya Eid hufika mahala hapo palipopambwa kwa kupiga picha za ukumbusho. Aliyepamba hivyo ni mpiga picha ambaye ana studio yake hapo karibu. Haya ndio mambo ya Eid el fitr, ama kweli watu wanajua kujitafutia rizki.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments :

tz biashara said...

MJINI SHULE BWANA WEE ACHA TU