Mama huyu akipita ndani ya maji ya mvua! |
Hebu niangalizie usafiri wangu nikapate kikombe! |
Huu ndio mwendo! Unataka kikombe panga foleni kwenye dimbwi. |
Vijana wangu wakipumzika baada ya kazi! |
Mama huyu akipita ndani ya maji ya mvua! |
Hebu niangalizie usafiri wangu nikapate kikombe! |
Huu ndio mwendo! Unataka kikombe panga foleni kwenye dimbwi. |
Vijana wangu wakipumzika baada ya kazi! |
5 comments :
Mkala jana nimemwonda swahiba wangu mgalula nikakumbukia mbali kweli zama hizo a town. nakumbuka alikata mawingu kuelekea state kama walivyokiita zamani sasa je amerudi kuwekeza nyumbani taabora?
Yeah jamaa ana club huku, so ndio hivyo tena. 10 years ago usingefikiri Gaby angeweza kukaa Tabora na kuwekeza!
good work kaka, mi nipo hapahapa tabora ,nafurahia kazi yako bro
good work kaka,mi nipo hapahapa tbr nafurahia kazi yako
Thanks bro!
Post a Comment