News
Loading...

Uzinduzi wa tunzo za muziki za Kilimajaro wafana!




Usiku wa jana katika bustani
maridhawa za hoteli ya Double
Hivi ndivyo kili Music Awards ya Mwaka huu
ilivuozinduliwa jana.
Tree Hilton iliyopo fukweni mwa bahari Hindi maeneo ya Masaki jijini Dar palifanyika uzinduzi wa tunzo za muziki za Kilimanjaro. Tunzo hizo huitwa Kilimanjaro kwa kuwa Tanzania Breweries Limited ndio wadhamini wa tunzo tangu zilipoasisiwa na marehemu James Dandu katka miaka ya mwanzoni 2000. Tafrija hiyo iliyofana kwa kiasi kikubwa hasa kutokana na waandaaji TBL kujipanga vilivyo kuanzia vinywaji, vitafunwa na burudani, ilihudhuriwa na wasanii, wanamuziki, watu maarufu na wadau wa muziki kwa ujumla kama uonavyo pichani. Na sasa baada ya uzinduzi huo na tusubiri hatua zitakazofuata pamoja na kuwa mwaka jana TBL na Basata kufanya mabadiliko bado palikuwa na
malalamiko ya hapa na pale. Matumaini yangu ni kuwa kwa mara nyingine tena waandaaji Tamasha hilo watajipanga vema na hatimaye tuwe na tunzo zitakazokosa malalamiko. Hongera TBL NA BASATA.

Bw George Kavishe, meneja wa bia ya Kilimanaro
akisema maneno machache katika uzinduzi huo,

Nembo mpya ya Kili Music Awards  kwa mwaka 2011.

Viongozi wa BASATA na mameneja wa bia ya
Kilimanjaro wakizindua rasmi tunzo za mwaka huu.

Marsha, Sada Baraka na Asha Baraka  walikuwa
 miongoni mwa  waalikwa wa tafrija hiyo fupi.

Mkala na Banana Zorro.

Gadna na Linah.

Asha Baraka na Jokate
Mwegelo wakipozi kwa picha

Miss Tanzania 2010 Genevive Mpangala ni
miongoni mwa wageni waliohudhuria uzinduzi
huo uliofana sana.


Dogo Janja  nas Mwana Fa.
  
  1. 
Steve RnB akipoza koo na
kili hapo Double Tree Hotel.

Amani kati yangu na Mwasu Mpore
mkuu wa vipindi EATV. Hapo nyuma tulipata
kukosana lakini hayo yamepita kama picha hii
ioneshavyo, huu ndio ustaarabu!

Amini Mwinyimkuu aka Nduli akihojiwa na Mussa wa EATV
mara baada ya kuwasili katika zulia jekundu jana usiku.

Hili ndilo jukwaa lililotumika
 jana kwa shows na
kadhalika, limekwenda shule!

Bi Kadija Kalili
(bongoweekend blog)

            
 
 
AY na Mkala tukipozi kwa picha.


FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala26

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :