News
Loading...

Mashine za kuchana, kuranda na kusafisha mbao ON SALE!


Band SawDuka la M&M limeleta Mashine za kuchana magogo, kuranda na kusafishia mbao pamoja na misasa, routers na spindle moulders vyenye ubora wa hali ya juu kutoka England,Germany, Italy na France. Pia wanapokea order kwa mashin e ambazo hazipo katika stock. Kwa mahitaji yako tembelea duka lao lililopo Temeke
 Keko Bora, duka linatazamana na barabara inayoelekea TRA Temeke au piga simu namba 0715 773384/ 0755773384 au 0719048255. Nyote mnakaribishwa!


Wilson 18 Scotland

Band saw

Combination machine

Panel Saw


FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala26

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

2 comments :

Anonymous said...

Ndugu mambo kama haya ya bishara ungekua unatuwekea na bei ili tupate kujua nashukuru sana.

Anonymous said...

Nina shida na mashine ya kuranda na kuchana mbao, bei zako ni vip na nini capacity yake? Uwezo wa kuchana na kuranda uko vip vip- 0758 000488?