News
Loading...

Kumradhi wadau wa keronyingi!


Mkala Fundikira Kabla ya kuugua.
Wapendwa wadau napenda kuchukua fursa hii leo kuwataka radhi baada ya huduma yangu kwenu kusita kwa karibu siku kumi hivi, hilo limetokana na ndugu yenu kuugua ghafla na kushindwa kuendelea kuwahabarisha kama tulivyozoea, lakini namshukuru Mungu nimeanza kupata nafuu kwa hiyo huduma itarudi kama kawa, ahsanteni kwa uvumilivu wenu.
Mkala Fundikira.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

5 comments :

Subi said...

Pole kwa kuugua Mkala.
Nakuombea afya njema!

Anonymous said...

POLE SANA MKALA F. KWA KUUGUA.MUNGU YUPO NAWE,NASI KTK UJENZI WA TAIFA. nisalimie bintiyo yulee uliyefananae saaaaaana

Mkala Fun said...

Nashukuru sana mdau, zimefika.

tz biashara said...

Pole sana Mkala kwa matatizo na mwenyezi mungu atakuafu,sijaipitia hii Blog kwa muda mrefu.

Mkala Fun said...

Nashukuru mdau, naendelea vema sasa ingawa si kwa 100% lakini Mungu anasaidia, asante!