News
Loading...

Huyu ndiye mhitaji wa msaada hasa!


Huyu ndie haswa anayehitaji msaada si vyama vya siasa.
Kijana Abbas Abdalla (31) mkazi wa Kiru ndogo, wilayani Babati amekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa ajabu tangu mwaka 2005 ambao unafanya mguu wake wa kulia kuvimba kupita kiasi na kupelekea sasa hawezi kutembea na atakapo kwenda jisaidia huhuitaji msaada wa vijana wapatao watano kumbeba. Napenda kuwaomba wale wenye uwezo ambao mara kwa mara tunawaona magazetini na runingani wakitoa misaada kwa vyama vya siasa, timu za mpira wa miguu na michezo mingine wamsaidie kijana huyu kwani ndiye hasa anayehitaji msaada wao. kwa msaada piga namba 0786272409 na 0655304336

Habari na picha kwa hisani ya gazeti la Mwananchi

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

2 comments :

laiza said...

Wallahi hujafa hujaumbika.
Abdallah mdogo wangu ni wewe au macho yangu?
Kwa wale wasamaria waishio jijini dar es salaam mnaweza kutuma msaada kwa tigo pesa kwa namba 0659 258932 na zitamfikia mdogo wetu abdallah bila wasiwasi. tafadhali unapotuma utoe taarifa kupitia mtandao huuhuu ili tuweke kumbukumbu nzuri ya michango na matumizi yake. tunajaribu kuepuka uchakachuaji kwani fedha fedheha

Mkala Fun said...

Kaka Laiza unamfahamu kijana huyu? Nasikitishwa sana na mateso ayapatayo kijana huyu!