News
Loading...

Viongozi wa TLP wazozana mbele ya waandishi wa habari
Naibu katibu mkuu wa TLP, Hamad Tao akizozana na
mwenyekiti wake Augustine Mrema(kulia), wakati wa mkutano
 mkuu wa chama hicho uliofanyika jana. Tao alisimamishwa
 uongozi kwa madai ya ukiukaji wa taratibu. Wengine pichani ni katibu mipango  Victor Lema na naibu katibu mkuu Richard Lyimo.
  Kwa haraka haraka tu majina matatu ya viongozi wa juu wa Chama cha TLP yanasomeka kama Mwenyekiti Augustine Mrema Naibu katibu Mkuu Richard Lyimo na Katibu mipango ni Victor Lema. Hii safu ya uongozi ni ya kindugu au imetokea tu wanatoka mkoa mmoja?

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :