News
Loading...

Kampuni za simu nazo hazipo nyuma!


Hiki ni kiosk cha cha kampuni ya Airtel.
Na kiosk hiki cha Vodacom Tanzania.

BUSY ROAD! Hii na barabara iendayo Urambo.
Baada ya dada Mage kuanza kutoa kikombe cha dawa eneo analoishi Urban quater, Uzunguni pameshamiri wachuuzi wa bidhaa zakila aina lakini kali zaidi ni pale Kampuni kubwa za simu zilipoamua zisiachwe nyuma na kuweka viosk vyao, lakini katika viosk hivyo hapauzwi vocha kama ambavyo ningetarajia, vinatumiwa na watu kujificha Jua na Mvua.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :