News
Loading...

BREAKING NEWS! Kuna dada tabibu wa magonjwa sugu wa Mji kasoro bahari!Hapa akiwa na Mkuu wa wilaya Saidi Mwambungu kushoto

 Fatuma Senga
Jamani kuna dada kwa jina Bi Fatma Saidi Senga kajitokeza Morogoro kata ya Kichangani anatoa tiba ya magonjwa sugu kama walioanza huko Loliondo, Tabora, Kilimanjaro na Mbeya na sasa Morogoro! Ka jamani nyie? Kazi hiyo kaianza march 31 na anatoza sh 200 kwa kikombe. Habari na picha na John Nditi Morogoro! Cha ajabu huyu ni muumini wa dini ya Ki Islamu kutokana na majina yake , kulikoni jamani?

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :