News
Loading...

Foleni majini vidioni!


Hii ndio hali halisi iliyokuwepo jana kwa dada Mage anayedai kuwa tabibu wa magonjwa sugu yote! Watu wamepanga foleni ndani ya maji ya mvua.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

3 comments :

Anonymous said...

Tunasubiri more picha za Tabora na videos, asante sana mimi ni wa Tabora nasoma hapa Canada. Picha hizo zinatukumbusha mbali wengine.

Mkala Fun said...

Usijali ndugu, nina mpango wa kuonesha picha kadhaa za mji wa Tabora katika siku 2 hizi. Utafurahi, kwangu ni faraja mtu kama wewe ukiomba nifanye kitu fulani hiyo inaonipa moyo wa kutaka kufanya vema zaidi ya hapa.

Anonymous said...

Kweli kabisa kaka Mkala sie wa mbali tunafurahi sana nasie kuona Tabora Mwanawane waweja kuyumba wawa.
A.maganga