News
Loading...

Tabora ilivyo!


 Pa kutumia barua.

 Shule ya msingi Isike.

 JAMATI.

 Barabara ya shule

Huu ni Mtaa wa Salmini Tabora sio Mtaa wa Kongo Dar

Mandhari ya Mji wa Tabora.

Hii ni sehamu ya mbele ya Mwinyi stadium

Sehemu ya ndani ya uwanja wa Alli Hassan Mwinyi

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

3 comments :

Anonymous said...

Shukrani nyingi kwa picha.Naomba picha zaidi ya mji na viwanda au sido ya Taboara. Viwanda vya Asali bado vipo?

Mkala Fun said...

Actually niliweka picha zaidi ila jana palikuwa na tatizo la server ndio maana hazikuingia, poa ninaziweka sasa.

Anonymous said...

Mkala home kutamu yani sie wa mbali tunafurahi sana kuona izo picha..mikwetu sikonge apo madukani,mama yangu kazaliwa Usunga.japo kwa sasa yuko Dar. Mungu Akuzidishie kilalakheri na ndoto zako zitimie Inshallah...
Mdau wako..A.Maganga