Tabora ilivyo! Mkala26 8:26:00 PM Edit Pa kutumia barua. Shule ya msingi Isike. JAMATI. Barabara ya shule Huu ni Mtaa wa Salmini Tabora sio Mtaa wa Kongo Dar Mandhari ya Mji wa Tabora. Hii ni sehamu ya mbele ya Mwinyi stadium Sehemu ya ndani ya uwanja wa Alli Hassan Mwinyi FACEBOOK COMMENT Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus Connect Mkala26 Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA FACEBOOK, |INSTAGRAM,. RELATED POSTS
3 comments :
Shukrani nyingi kwa picha.Naomba picha zaidi ya mji na viwanda au sido ya Taboara. Viwanda vya Asali bado vipo?
Actually niliweka picha zaidi ila jana palikuwa na tatizo la server ndio maana hazikuingia, poa ninaziweka sasa.
Mkala home kutamu yani sie wa mbali tunafurahi sana kuona izo picha..mikwetu sikonge apo madukani,mama yangu kazaliwa Usunga.japo kwa sasa yuko Dar. Mungu Akuzidishie kilalakheri na ndoto zako zitimie Inshallah...
Mdau wako..A.Maganga
Post a Comment