News
Loading...

Zinduka! Malaria no more!


Malaria No More! Kuku akiwa ndani ya chandarua!
 Hii ni kampeni dhidi ya Malaria? Ndilo swali langu kwa mwenye kuku akajibu" Huyu kuku mkorofi sana, nikimuacha nje naenda mkamatia mtaa wa tatu nikaona bora akae humu, na amekaa humu tangu ukifaranga wake!
Zinduka campaign mpaka kwa kuku? Hii kali!

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

2 comments :

Anonymous said...

Dah! Huyu kuku balaa kweli.

Rik Kilasi said...

hahhahahhaha my lungs out lolz