News
Loading...

Hali ilivyo leo kwa dada Mage mtabibu!


Hali ni shwari leo kwa dada Mage.
Leo hii ijumaa foleni imepungua mno kwa dada Mage, jana hapa pote palitapakaa watu waliopanga foleni ili kupata kikombe na foleni hiyo ilianzia barabarani ikipitia katika dimbwi kubwa la maji ya mvua. Hadi naondoka Uzunguni mvua kubwa ilianza kunyesha tazama picha chini. Nahisi kesho na keshokutwa patakuwa na watu wengi hapo kwa dada kwani wakazi wengi wa Mkoa huu huwa ni waajariwa na wikiendi ndipo watapata nafasi ya kwenda kwa dada Mage kunywa dawa.
Leo foleni imepungua sana, jana hapa ilikuwa ni sehemu ya foleni
JANA: Foleni ilivyokuwa!
LEO: SAA 8.30 Mchana; Mara mvua kubwa yaanza kunyesha.


FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :