News
Loading...

CHADEMA tumieni wanasheria mlionao kuepuka uvunjaji sheria wa mara kwa mara


TUNDU LISU; Mmoja wa wanasheria ndani ya CHADEMA
Baada ya sakata la kukamatwa na kwa Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA na kushutumiwa kuwa wanachochea ghasia nafikiri umefika wakati CHADEMA kianze kutumia wanasheria waliomo chamani ili kutafakari matendo yao kabla ya kuyatenda, nafikiri itasaidia kupunguza shutuma dhidi yao hasa shutuma zitokazo kwa watumishi wa serikali wasiopaswa kulalia upande wowote ki siasa, hasa askari polisi na wale wa Jeshi la Ulinzi.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :