News
Loading...

Rest In Peace Steve Kanumba


Kifo cha Steve Kanumba ni pigo kubwa kwa tasnia ya filamu nchini ambayo mimi ni mdau. Pamoja na kuwa sikuwahi juana na Steve Kanumba kwa sana lakini nakumbuka wakati fulani mwaka jana niliwahi kuombwa na wadau wa filamu za Bongo wa Uk niongee naye kwa niaba yao kuwa wanataka aende huko wakafanye naye filamu, kwa bahati mbaya alinijibu kuwa isingewezekana kwa mwaka ule kwa kuwa amesaini mkataba na kampuni fulani na haumruhusu kufanya kazi na kampuni nyingine mpaka mkataba huo utakapokwisha.Na hiyo ndio nafasi pekee niliyoipata kuongea nae. 

Mh Rais akitoa mkono wa pole kwa baadhi ya wasanii wa filamu

Tumshukuru Mungu na tumuombee Kanumba akalale pema peponi! Mungu ibariki Tanzania!
Mkala Fundikira

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :