News
Loading...

Makalio makubwa yakaribia kumtoa uhai!Mtuhumiwa Oneal Morris

Oneal Morris alikamatwa na polisi kwa tuhuma kuwa mwanamke aliyekuwa akimtengeneza makalio yawe makubwa kukaribia kupoteza maisha baada ya Morris kumchoma sindano kadhaa makalioni ambapo katika mchanganyiko wa madawa alikuwa akimuingiza nayo mwilini kupitia njia ya haja kubwa ni pamoja na Super glue, dawa za kuzibia pancha(gundi) mafuta laini pamoja cement.Kwa sasa Morris ambaye ni mwanamume alijiyebadili kuwa mwanamke alimtoza mhanga wake  £450 za kiingereza kwa kazi hiyo ya kumkuza makalio. Na inasadikiwa kuwa Morris alifanya tiba hiyo nyumbani kwake. Muda mfupi baada ya tiba hiyo mhanga huyo alianza kupata dalili za Nimonia (Pneumonia) na malenge lenge kumtokea katika njia ya haja kubwa.


Polisi wamesema Morris ambaye ni mkazi Florida, USA wanafikiri ni mmoja kati ya waganga wa makalio wenye mtandao mpana zaidi huko Marekani. Na anashatakiwa kwa  kosa la kuganga bila leseni. Mwezi februari mwaka huu mwanafunzi wa kiingereza toka London  aliyekuwa alisoma huko Philadelphia alikufa baada ya kuchomwa sindano ilidhamiriwa kumuongeza ukubwa wa makalio yake.Inaelekea Morris na yeye alikuza makalio
kwa madawa hayo pia si unaona shepu yake?

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala26

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments :

tanzaniakwetu said...

Duh, hii kiboko aisee, kama angekuwa yupo bongo, nadhani angepata hela nyingi sana, si unajua tena mambo flani hivi.