News
Loading...

Kocha wa WALES Garry Speed afariki DUNIAChama cha soka cha Wales kimethibitisha kifo cha Garry Speed (42) aliyekuwa kocha wa timu ya taifa ya nchi hiyo. garry Speed aliichezea Wales mechi 85 katika kipindi cha miaka 14 aliyocheza soka. Speed alianza kuifundisha Wales mwaka 2010, Speed ambaye chini yake Wales ilicheza michezo 10 na kushinda mitano mfululizo,na wa mwisho ulikuwa wa kirafiki dhidi ya Norway ambapo Wales ilishinda 4-1. Speed aliziwahi kuzichezea timu za SHeffield United, Newcastle na Bolton. Huu ni msiba mkubwa kwa wapenzi wote wa soka na michezo kwa ujumla wake. 

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :