News
Loading...

Afya zao vipi hawa vijana?


Juu ya gari hili la taka vijana wawili wakiwa kazini
Vijana wawili wanaonekana wakiwa wamekaa juu ya taka zilizobebwa katika lori hili huku wakiwa hawana shaka yeyote na afya zao hasa pale wanapozikalia taka hizo. Yarabi stara Mwenyezi Mungu tustiri!

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :