News
Loading...

Mwaka mpya wa Twanga na wadau wake!


  
Mh Idd Azan (MB) alikuwa mgeni rasmi.
Hapa wakigonga glasi na Mkurugenzi wa ASET
Bi Asha Baraka kuashiria kufunguliwa
 kwa tafrija hiyo.


Ankal nae alikuwepo.
Katika kuonyesha kuwajali wadau wao uongozi wa Twanga Pepeta katka siku ya mkesha wa siku kuu ya Mapinduzi ya Zanzibar uliandaa tafrija ya kuwashukuru wadau wao kwa kuwaunga mkono katika raha na tabu za mwaka 2010, ambapo pia walizindua nyimbo zao mbili pamoja na video zake ambazo walimshirikisha mwanamuziki nguli wa ki Congo Bozii Boziana alipokuwa kwenye ziara fupi nchini. Walialikwa wadau wapatao 100 kwa chakula cha usiku na pia iliombwa dua fupi kwa marehemu Abou Semhando aliyefariki kwa ajali ya barabarani wki chache zilizopita. Picha hapo chini zinaonyesha wadau walioweza kufika katika ukumbi wa Mzalendo Pub kwa ajili ya usku huo maalum kwa Twanga Pepeta Band.


Mr and Mrs Fagason.
 


Said Mdoe(Screenmasters)na
 Mgalula Fundikira Club royal Tabora walialikwa pia.
 


Njerii na Christa nao walikuwepo.
 


 

 Shamsa na mzee
 wa Keronyingi.Mtu na mpambe wake.
 

Msema chochote wa tafrija
hiyo Benny Kinyaiya.


Baadhi ya wadau wa Twanga Pepeta
wakiwasili katika ukumbi wa Mzalendo Pub.
 

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

2 comments :

Anonymous said...

Bab kubwa Bi Asha Baraka kwa kuwajali wadau wa bendi yako!Big up!

Anonymous said...

Mzee wa kero nyingi big up.komesha wangaa uaaaaaaa.