| Mh Idd Azan (MB) alikuwa mgeni rasmi. Hapa wakigonga glasi na Mkurugenzi wa ASET Bi Asha Baraka kuashiria kufunguliwa kwa tafrija hiyo. |
| Ankal nae alikuwepo. |
| Mr and Mrs Fagason. |
| Said Mdoe(Screenmasters)na Mgalula Fundikira Club royal Tabora walialikwa pia. |
| Njerii na Christa nao walikuwepo. |
| Shamsa na mzee wa Keronyingi. |
| Mtu na mpambe wake. |
| Msema chochote wa tafrija hiyo Benny Kinyaiya. |
| Baadhi ya wadau wa Twanga Pepeta wakiwasili katika ukumbi wa Mzalendo Pub. |
2 comments :
Bab kubwa Bi Asha Baraka kwa kuwajali wadau wa bendi yako!Big up!
Mzee wa kero nyingi big up.komesha wangaa uaaaaaaa.
Post a Comment