News
Loading...

Hongera Yanga Afrika!


Kikosi cha Yanga Afrika bingwa mpya Tanzania  2010/2011
Timu ya Yanga leo hii jioni imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Vodacom Premier League 2011 baada ya kuwafunga ndugu zao wa Toto Afrika ya Mwanza kwa magoli 3-0 na hivyo kuwazidi wapinzania wao wa jadi Simba Sports Club pia ya jijini kwa goli moja tu. Hata hivyo Simba kuanzia viongozi, kocha na wachezaji itabidi wajilaumu kwa kuukosa ubingwa huo baada ya Kupoteza mwelekeo katika kipindi muhimu kabisa cha ligi hiyo hasa pale ilipotoka sare nyumbani na timu ambazo ilipaswa kuzifunga bila taabu yeyote kitu kilichopelekea kutegemea washinde magoli mengi siku ya mwisho ya ligi hiyo hali hiyo ni sawa na kutaka kumnenepesha ng'ombe siku ya mnada.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :