News
Loading...

Utundu wa Limo Tanzania made!


Hii ni ni Mitsubishi space wagon Limo.
Hii ni Lincoln stretch LIMO
Huu hapa chini ni utundu wa mtu fulani hapa jijini Dar ambapo amefanikiwa kutengeneza Limo yenye magurudumu sita na lenye kuchukua abiria 11 na dereva wa 12, hongera kwake. Na juu ni Lincoln srtetch hii ni original ya US of A.
Muonekano wake kwa nyuma










FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala26

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :