News
Loading...

Huwezi amini


Ndugu mdau nasema huwezi amini kwa kuwa mita chache toka hapa katika shimo kati ya manne yaliyopo hapa maarufu kama kwa Nyerere ni nyumbani pa aliyekuwa baba wa taifa hili lenye amani na upendo tele, namzungumzia hayati Mwl J.K.Nyerere,  mashimo haya yamekuwa hivi kwa muda mrefu na haifahamiki ni ya taasisi gani, ila ni kazi ya halmashauri kufahamu hayo na kuwawajibisha wahusika. Kama uonavyo ni hatari kwa waenda kwa miguu na hata madereva ambao hupaki maeneo hayo yenye maduka kujipatia mahitaji yao mbali mbali.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :