News
Loading...

Hatimaye vitanda vyaongezwa wodi ya wazazi Kitete hospital!Hii ndiyo wodi ya wazazi Kitete.

Baada ya televisheni ya Tbc miezi kadhaa iliyopita kuonesha jinsi wodi ya wazazi katika hospitali ya mkoa wa Tabora wanavyolazwa wawili hadi watatu kutokana na upungufu wa vitanda, sasa tatizo hilo limekwisha. Jana nilitia maguu ndani ya hospitali hiyo na kushuhudia kwa macho yangu ambapo nilihesabu palikuwa na vitanda vipatavyo 40 hivi, viku kuu. Kwa hili napenda nitoe pongezi na shukurani kwa wahusika.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :