News
Loading...

Tetemeko la ardhi laitingisha Dar es Salaam


Dar es Salaam
Leo hii majira ya saa sita kasoro jiji la Dar es Salaam lilipatwa na tetemeko dogo la ardhi ambapo mashuhuda wameeleza kuwa waliona computer zikisogea huku na huko hasa katika majengo marefu ambapo ilibidi watoke nje ya majengo hayo, aidha hakuna madhara yeyote yaliyoripotiwa mpaka nikiandika habari hii. EWE MUNGU MWINGI WA REHEMA IBARIKI TANZANIA IEPUSHE NA MAJANGA KAMA LA LEO! 
Maeneo ya jiji yaliyopatwa na tetemeko

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :