News
Loading...

Hatimaye Abas apata mfadhili wa kumtibu


Juzi niliandika habari juu ya kijana Abbas wa Kiru ndogo, Babati kuugua ugonjwa wa ajabu ambapo mguu wake wa kulia umevimba kiasi cha kupoteza mtazamo halisi na kuwa hawezi kutembea na anapotaka kwenda msalani huhitaji msaada wa vijana wapatao watano kumbeba. Hatimae leo kuna habari kuwa mmiliki wa mabasi ya Hood, Bw Mohamed Hood alituma gari kumchukua Abbas na kumpeleka hospitali ya Seliani iliyopo Arusha, pia Bw Hood ameahidi kulipa gharama zote za matibabu ya Abbas akiwa hospitalini hapo. Blogu hii inachukua fursa hii adhimu kumpongeza Bw Mohamed Hood kwa kujitolea kumtibu kijana Abbas.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :