News
Loading...

Joseph Shamba (VENGU) wa ze origino komedi Mahututi!


Joseph Shamba akijuliwa hali na Mh
Rais Kikwete Muhimbili jijini Dar.
Msanii wa vichekesho Joseph Shamba aka Vengu (28) wa kundi la Ze origino komedi amelazwa katika hospitali ya taifa Muhimbili kwa wiki kadhaa sasa. Haikuweza kufahamika mara moja anasumbuliwa na maradhi gani lakini ni dhahiri kuwa hali yake si nzuri kama ioneshavyo pichani alipotembelewa na Mh Rais Kikwete hivi karibuni. Vengu ni maarufu kwa uigizaji wa viongozi wa serikali na wale wa upinzani hasa Mh Augustine Mrema wa TLP. Nawaomba wa Tanzania wote tumuombee Vengu apate nafuu haraka ili arudi katika shughuli zake za kila siku kama hapo awali.


PICHA KWA HISANI YA IKULU

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :