News
Loading...

Ubao ukionesha maelezo ya matengenezo hayo.
Hii ni barabara ya Fundikira katika eneo la Cheyo mjini Tabora hapa inafanyiwa matengenezo madogo ili ipitike kirahisi. Barabara hii ni kiungo muhimu na fupi cha maeneo ya Cheyo na Isevya lakini bado Manispaa ya mji huo ulioachwa nyuma kimaendeleo tangu kipindi cha uhuru pamoja na kuwa na mchango mkubwa katika harakati za kuupigania uhuru huo haijaona umuhimu wa kuitengeneza kwa kiwango cha lamioja na kuwa haina hata kilo meta moja unusu.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :