News
Loading...

Marlow alitajirishwa na CCM?Marlow kazini Zanzibar.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Marlow katika uchaguzi mkuu wa Rais alitumika katika mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani ambapo habari za ndani zimeeleza kuwa CCM chama ambacho kilichoshinda uchaguzi huo licha ya CHADEMA kugoma kuyakubali matokeo hayo.
Marlow akiimba pi pi katika kampeni za CCM.
Marlow na msanii yeyote aliyepanda jukwaani kufanya show moja alilipwa shilingi laki tano hii ni kwa mujibu wa wasanii wenyewe. Kwa Marlow ambaye alikwenda kila pale ambapo mgombea urais kwa tiketi ya CCM Mh Jakaya alikwenda huenda akawa amevuna kati ya shilingi milioni 12 mpaka 90 hivi  katika kampeni hizo za 2010, kwani baadhi ya mikoa ina zaidi ya wilaya nne ambazo Mh Kikwete alipita kufanya kampeni zake.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :