News
Loading...

Breaking news, Mkuu wa mkoa aenda kuongea na Dada Mage, agonga kikombe na ujumbe wake!
Mkuu wa mkoa wa Tabora akisikiliza tiba kwa makini!

barabara iendayo kwa dada Mage!
Baada ya kutoka katika kikao cha kamati ya usalama Mkuu wa mkoa wa Tabora alikwenda Urban quater Uzunguni kukutana na dada ambapo alipata kushuhudia mambo yanavyokwenda pia walijaribu kumshauri ahamie sehemu ya wazi na kubwa lakini dada Mage alikataa ombi hilo akidai kuhama haipo katika maelekezo yake. Pia mkuu wa mkoa aliangalia uwezekano wa kujengwa vyoo maeneo ya jirani ambapo mita 200 hivi toka kwa dada kuna bara bara ya lami iendayo Urambo na pana nafasi kubwa sana ambayo inaweza ikatumika kujenga vyoo. Urban quarter  Uzunguni ni kiasi cha kilometa 2 hivi toka Tabora mjini! Dada amesema atasimama kutoa huduma ya kikombe mnamo saa 12 na mbili na nusu jioni ambapo wagonjwa watatakiwa kuondoka na kurudi kesho asubuhi, na hili limesisitizwa pia na Afisa usalama wa wilaya Bw Shaban Murumbi!
Kutoka kushoto ni RPC Barlow, Mkuu wa mkoa Bw Minyimsa na afisa usalama wa wilaya ya Tabora mjini.

Askari polisi akiombewa kabla ya kunywa dawa!

Afisa Mwandamizi wa Jeshi la polisi akiombewa kabla ya kupata kikombe cha Dada

Mkuu wa mkoa Abei Mwinyimsa akiwa kwa dada

Gari la kamanda Barlow maeneo ya ya kwa dada Mage!

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :