News
Loading...

Hitma ya marehemu Abuu Semhando hii hapa!Mkurugenzi wa kampuni ya ASET Bi Asha Baraka akisisitiza
jambo alipoongea na vyombo vya habari baada
ya hitma ya marehemu Abuu Semhando.

Hapa chini ni washabiki maarufu wa Twanga pepeta 
kulia Bi Mtagwa Fundikira na Bi Fatuma Fundikira.

Leo asubuhi niliwataarifu wadau juu ya hitma ya marehemu Abuu Semhando kuwa ingefanyika mchana huu saa 7 katika ofisi za kampuni ya ASET ambayo marehemu aliifanyia kazi kwa takriban miaka 11 hivi. Kwa mujibu wa mkurugenzi wa kampuni ya ASET ambayo ndiyo inamiliki bendi ya Twanga Pepeta Bi Asha Baraka, hitma hiyo iliandaliwa na wanamuziki wote wa Twanga pepeta pamoja na uongozi wa bendi hiyo. Hapa chini ni picha za baadhi ya watu waliohudhuria hitma hiyo.


Mtangazaji Ben Kinyaia kushoto akipata sadaka
kulia ni mcheza filamu Vincent Kigosi.

Wacheza filamu Ray na Kanumba.


Hadija Kalili ( bongo weekend)  mwenye kilemba chekundu kichwani akiwa na baadhi ya kinadada walio hudhuria hitma ya marehemu Abuu Semhando.

Kutoka kushoto ni Abdul Tall
Victor Mkambi, Saidi Mdoe
(screen masters)na Dogo Rama.


Huyu ni Amigolas 
 

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :