News
Loading...

Oparesheni kamata kamataBwana huyu aliyeipa mgongo Kamera yetu
akishangaa jinsi askari walivyofanya kazi yao
Leo mnamo saa tano za asubuhi katika mzunguko(round about) wa mtaa wa Zanaki na Jamuhuri palikuwa na kamata kamata iliyoendeshwa na askari wa usalama barabarani maarufu kama(traffic police) ambao walikuwa na gari aina za Landrover 110, Discovery na Landcruiser pick up. Waliwalenga wale waliosimama barabarani bila kufuata sheria za usalama barabarani na hapa chini ndivyo ilivyokuwa.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :