News
Loading...

Mwaka 2011 tumeuona! Thank GOD!


Kama ilivyo ada Bw na Bibi Mtawali wamekuwa wakialika marafiki kila ifikapo wakati wa kuukarbisha mwaka mpya na wamefanya hivyo kwa miaka mitatu mfululizo. Mwaka 2010 walikaribisha wageni wapatao sabini hivi, na kwa jinsi walivyojipanga, wageni walikunywa na kula mpaka walipoamua kuondoka, kwa  kweli ilikuwa ni party nzuri ambazo si mara nyingi sana kutokea. Palikuwa na vinywaji vya kila aina kuanzia vikali mpaka zile laga na vile laini, kwa wanywaji wa vikali walikuwa wakikabidhiwa mzinga mzima upande wa mlo ilikuwa ni kuku wa sekela mishkaki iliyokwenda chuo kikuu pamoja na ndizi choma, It was really nice, i enjoyed fully. Thanx Mr & Mrs Mtawali, Big up!
Mr & Mrs Mtawali ambao
ndio waltukaribisha kwao


Mc Steve Nyerere. 
Hawa ni baadhi ya waalikwa
 katika party hiyo ya kuuaga
mwaka 2010 na kuukaribisha
 huu mpya wa 2011.

Mimi na Benny tulikuwa miongoni mwa waalikwa. 

Warembo hawa walijitambulisha
 kama Hotties wa 2011.Benny na Nzwala Fundikira.
  


Charles, Katabalu,
 Nzwala na Mbowe.
 

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :