News
Loading...

Nilikosea sana


Wayne Rooney akiri makosa.
Mchezaji nyota wa klabu ya Manchester United Wayne Rooney amekiri kufanya makosa kumtilia shaka kocha wake Sir Allex Ferguson, familia ya Glazer ambao ni wamiliki wa kilabu hicho maarufu duniani pamoja na mkurugenzi David Gill kuwa hawana kiu ya maendeleo. Kitu ambacho alikuja kugundua kuwa ni makosa na haikuwa kazi yake kuwahoji mabosi zake ameiambia televisheni ya Man United jana. Na yafuatayo ni mambo ambayo hukuyajua kuhusu Rooney;
1. Husali katika chumba cha mchua misuli kabla ya kila mchezo wa soka.
2. Ameshinda medali tatu za premier league, mbili  za carling cup na moja ya ubingwa wa ulaya pamoja na ngao ya jamii.
3.Ilimchukua masaa mawili tu kukubali vipengele na kusaini mkataba mpya na Manchester United uliomfanya alipwe pauni laki 250 kwa wiki.
4. Asingesaini kuichezea Man city wala Liverpool hata kama angeondoka Man united hizo ni timu mbili ambazo asingezichezea.                        

5.Hatocheza mpira kwa muda mrefu kama Ryan Giggs na Paul Scholes.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :