News
Loading...

Ajali!


Ajali mbaya ilitokea Magomeni jana usiku wa takriban saa sita hivi maeneo ya karibu na Morocco hotel kwenye kona kali kama ukitokea Kinondoni Mkwajuni. Shuhuda wa ajali hiyo alieleza kuwa dereva alipoteza mwelekeo baada ya kushindwa kukata kona kutokana na mwendo kasi ndipo gari hiyo Toyota Mark II ilipopinduka ambapo dereva na abiria wake wawili waliumia vibaya. Magurudumu mawili yalivunjika na kung'oka kabisa. Wasamaria waliwakimbiza majeruhi Hospital ya Taifa Muhimbili ambako wamelazwa kwa kupatiwa matibabu ya majeraha yao. Askari wa usalama barabarani alikuwa ameshawasili eneo la tukio kama anavyoonekana.Hiki ni kipande cha RIM ya gari hiyo       

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :